1. WATEJA WETU
(i) Taasisi
(ii) Viwanda
(iii) Wafanya Biashara
(iv) Wateja wa Majumbani
(v) Vioski (Mawakala)
(vi) Wateja wa Ujenzi
(vii) Mabirika ya kunyweshea mifugo
2. WADAU WETU
Wadau wa shughuli za Majisafi na Usafi wa Mazingira Bunda ni:-
(i) Wananchi na Sekta Binafsi.
(ii) Serikali Kuu na Mitaa.
(iii) Wafadhili na Washirika wa Maendeleo.
(iv) EWURA
(v) Vyombo vya habari
(vi) Wanasiasa