UTARATIBU WA KUTOA TAARIFA JUU YA HUDUMA YA MAJISAFI NA MAJITAKA

  1. BUWSSA itafanya mikutano ya wadau na viongozi wa serikali kila baada ya miezi 6 ili kutoa taarifa mbalimbali na mafunzo kwa wadau na wateja kwa ujumla.
  2. BUWSSA itatumia njia za mawasiliano mbalimbali (radio, ujumbe mfupi wa meseji, gari la matangazo, vipeperushi) ili kutoa taarifa za maendeleo au elimu kuhusu huduma ya majisafi na majitaka pale itakapo tokea umuhimu wa haraka ili kuwapa taarifa wateja wake na wadau kwa ujumla.