- Kuhusu Ankara zinazohitaji uchunguzi, maulizo ya Ankara yatafanywa na mteja kwa kufika mwenyewe sehemu ya huduma kwa wateja/ kwa maandishi au kwa simu, yatafanyiwa kazi na majibu au taarifa itatolewa katika muda usiozidi siku 5 za kazi.
- Mteja anaweza kuendelea kulipa deni la maji kwa kiwango ambacho anafikiri ni sahihi wakati uchunguzi wa tatizo la Ankara unaendelea kufanyika.