Mpendwa Mteja, sasa unaweza kuomba maunganisho mapya ya huduma ya maji kidijitali bila kufika ofisini.
Tafadhali wasilisha maombi yako mapema kupitia mfumo wetu wa online huduma.maji.gov.go.tz
Kwa msaada zaidi wasiliana nasi kupitia namba zetu za huduma kwa wateja 0746 877 479.