MIRADI

1.0. UJENZI WA MRADI WA CHUJIO LA KUTIBU NA KUSAFISHA MAJI NYABEHU.

Jedwali Na.1: Taarifa ya Mradi.

JINA LA MRADIMAELEZOTAKWIMU
Mradi wa ujenzi wa chujio la maji Nyabehu – BundaGharama za mradi:TShs 10,602,556,783.00
 Mfadhili:Serikali ya Tanzania.
Jina la MkandarasiM/S Shanxi Construction Engineering Corporation and Mineral Company.
Jina la Msimamizi:Mhandisi mshauri ambaye ni GKW Consult in Associations with Lahmeyer Tanzania Ltd.
Tarehe ya kusaini Mkataba:30/04/2019:
Tarehe ya mwisho wa, Mkataba.30/4/2022
Muda wa utekelezaji mkataba.Miaka mitatu (3)
Utekelezaji hadi.26/7/2023
Idadi ya wanufaika wa Mradi227,446
Kiasi cha Fedha kilichopokelewaTShs 8,830,264,614.81
Kiasi cha fedha kilicholipwaTShs 8,830,264,614.81
Kiasi cha fedha kilichobakiaTShs 1,772,292,168.19

Hadi sasa mradi umekamilika 100% ya utekelezaji, mradi huu unatumika kwa ajili ya kutoa huduma ya majisafi.

 Picha ya mradi wa maji Nyabehu kama inavyoonekana   hapa chini.

2.0. UJENZI WA MRADI WA MAJI MISISI-ZANZIBAR MJINI BUNDA.

Jedwali Na.2: Taarifa ya Mradi.

JINA LA MRADIMAELEZOTAKWIMU.
Mradi wa ujenzi wa maji Misisi-Zanzibar Mjini Bunda.Gharama za Mradi:TShs 733,240,527
 Tarehe ya kibali cha ujenzi wa mradi.20/12/2021
Mfadhili:Mfuko wa Maji.
Hali ya utekelezaji (Force account) Watalaamu kutoka mamlaka ya maji Bunda
Jina la Msimamizi:Mkurugenzi Mtendaji Mamlaka ya majisafi na usafi wa mazingira Bunda.
Tarehe ya kuanza kazi.01/11/2022
Tarehe ya mwisho wa kazi.31/05/2023
Muda wa utekelezaji wa mkataba.Miezi saba  (07)
Idadi ya wanufaika wa Mradi.7,042
Kiasi cha Fedha kilichopokelewa.TShs 583,240,527.00
Kiasi cha fedha kilicholipwa.TShs 583,240,527.00
Kiasi cha fedha kilichobakia.TShs 150,000,000.00
Kiasi cha fedha ambacho hakijapokelewa.TShs 150,000,000.00
Kiwango cha kazi kilichofanyika100%

Kutokana na kiasi cha fedha ambacho tumepata toka wizara ya maji, Kazi ya ujenzi wa tangi la maji lenye ujazo wa lita 100,000 lilobebwa kwenye muhimili wenye urefu wa mita tisa(9) umekamilika. Na kilomita 9.6 za bomba tayari zimelazwa mitaa ya Nyasura B’’, Zanzibar na Misisi Mjini Bunda. Mpaka sasa utekelezaji umefikia asilimia 100% na wananchi wa eneo hilo tayari wameanza kupata maji kupitia mradi huo.

Muonekano wa tanki jipya la maji liliyopo Misisi na tanki la zamani lililofanyiwa ukarabati.

3.0. UJENZI WA MRADI WA MAJI MANYAMANYAMA-MUGAJA MJINI BUNDA.

Jedwali Na.3: Taarifa ya Mradi.

Mradi wa ujenzi wa maji Manyamanyama Mugaja mjini Bunda.Eneo la mradi:Kata ya Manyamanyama.
 Gharama za Mradi:TShs 1,137,532,120.00
 Mfadhili:Mfuko wa Maji wa Taifa (NWF).
 Jina la MkandarasiMradi umetekelezwa kwa Force Account
 Jina la Msimamizi:Mkurugenzi Mtendaji Mamlaka ya MajiSafi na Usafi wa Mazingira Bunda.
 Tarehe ya kusaini Mkataba.22/07/2023
 Utekelezaji hadi.31/1/2024
 Idadi ya Wanufaika wa Mradi:5,424
 Kiasi cha Fedha Kilichopokelewa:TShs.1,131,860,360.00
 Kiasi cha Fedha Kilicholipwa:TShs.1,131,860,360.00
 Kiasi cha Fedha Kilichobakia:TShs 5,671,760.00
 Asilimia za Utekelezaji100

Mpaka sasa utekelezaji umefikia asilimia 100% na wananchi wa eneo hilo tayari wanapata maji kupitia mradi huo.

4.0. UJENZI WA MRADI WA MAJI BALILI, RUBANA NA KUNZUGU MJINI BUNDA.

Jedwali Na.4: Taarifa ya Mradi.

JINA LA MRADIMAELEZOTAKWIMU.
Mradi wa ujenzi wa maji Balili,Rubana na Kunzugu  mjini Bunda.Gharama za Mradi:TShs 759,870,192.00
 Tarehe ya kibali cha ujenzi wa mradi.25/10/2022
Mfadhili:Mfuko wa Maji.
Force account:Wataalam wa Mamlaka ya majisafi na usafi wa mazingira Bunda.
Jina la Msimamizi:Mkurugenzi Mtendaji Mamlaka ya majisafi na usafi wa mazingira Bunda.
Tarehe ya kuanza kazi.01/08/2023
Tarehe ya mwisho wa kazi.31/1/2024
Muda wa utekelezaji wa mkataba.Miezi sita (06)
Idadi ya wanufaika wa Mradi.17,699
Kiasi cha Fedha kilichopokelewa.TShs 382,319,713.51
Kiasi cha fedha kilicholipwa.TShs 382,319,713.51
Kiasi cha fedha ambacho hakijapokelewa.TShs 377,550,478.49
Kiwango cha kazi kilichofanyika. 100%

Mpaka sasa utekelezaji umefikia asilimia 100% na wananchi wa eneo hilo tayari wameanza kupata maji kupitia mradi huo.

5.0 UJENZI WA MRADI WA MIUNDOMBINU YA MAJITAKA BUTAKALE

JINA LA MRADIMAELEZOTAKWIMU
Mradi wa ujenzi wa Miundombinu ya Majitaka Butakale –Bunda Mkataba No.DM40/2023/2024/W/06Gharama za Mradi:TShs 1,728,019,700.00
Mfadhili:Serikali ya Tanzania
Idadi ya Wanufaika wa Mradi:227,446
Kiasi cha Fedha Kilichopokelewa:583,939,515.00
Kiasi cha Fedha Kilicholipwa:583,939,515.00
Kiasi cha Fedha Kilichobakia:TShs 1,144,080,185.00
Hali ya Mradi:45% imekamilika, utekelezaji bado unaendelea

6.0 UJENZI WA MRADI WA MAJI WARIKU

Ujenzi wa Mradi wa Maji Wariku.Eneo la mradi:Kata ya Wariku Bunda Mjini
 Gharama za Mradi:TShs 1,620,121,364.90
Mfadhili:Serikali ya Tanzania na Mfuko wa Taifa wa Maji
 Jina la MkandarasiMradi umetekelezwa kwa Force Account
 Jina la Msimamizi:Mkurugenzi Mtendaji Mamlaka ya MajiSafi na Usafi wa Mazingira Bunda.
 Tarehe ya kusaini Mkataba.01/12/2024
 Utekelezaji hadi.30/5/2025
Idadi ya Wanufaika wa Mradi:33,088
Kiasi cha Fedha Kilichopokelewa:TShs 0.00
Kiasi cha Fedha Kilicholipwa:TShs 0.00
Kiasi cha Fedha Kilichobakia:TShs 1,620,121,364.90
Hali ya Mradi:35% ya utekelezaji imefikiwa.

7.0 UJENZI WA MRADI WA MAJI KISANGWA

Mradi wa ujenzi wa maji Kisangwa.Eneo la mradi:Kata ya Mcharo mjini Bunda
 Gharama za Mradi:TShs 716,184,480.00
Mfadhili:Mfuko wa Taifa wa Maji
Tarehe ya kuanza kazi.25/06/2024
Tarehe ya mwisho wa kazi.31/12/2024
Idadi ya wanufaika wa Mradi.7,042
Kiasi cha Fedha kilichopokelewa.TShs 0.00
Kiasi cha fedha kilicholipwa.TShs 0.00
Kiasi cha fedha kilichobakia.TShs 716,184,480.00
 Hali ya Mradi:7% ya utekelezaji imefikiwa na kwa sasa mradi upo kwenya hatua ya manunuzi.

8.0 UJENZI WA MRADI WA MAJI NYAMUSWA

Ujenzi wa Mradi wa Maji NyamuswaEneo la mradi:Kata ya Butiama, Nyamuswa, Ketare na Masaba.
 Gharama za Mradi:TShs. 8,357,146,866.81
Mfadhili:Serikali ya Tanzania
 Jina la MkandarasiMOLI OIL MILLS CO. LIMETED NA GAT ENGINEERING COMPANY LTD
 Jina la Msimamizi:Mkurugenzi Mtendaji Mamlaka ya MajiSafi na Usafi wa Mazingira Bunda.
 Tarehe ya kusaini Mkataba.01/02/2025
 Utekelezaji hadi.30/1/2026
Idadi ya Wanufaika wa Mradi:51,935
Kiasi cha Fedha Kilichopokelewa:TShs 1,000,000,000.00
Kiasi cha Fedha Kilicholipwa:TShs 1,000,000,000.00
Kiasi cha Fedha Kilichobakia:TShs 7,357,146,866.81
Hali ya Mradi:12% ya utekelezaji imefikiwa na kwa sasa mradi upo kwenya hatua ya uletwaji wa vifaa na ujenzi wa ofisi.

9.0 MRADI WA UBADILISHAJI BOMBA LA GRP MIGUNGANI – KASWAKA

Mradi wa ubadilishaji bomba ya GRP Migungani Kaswaka.Eneo la mradi:Kata ya Bunda stoo na  Nyamakokoto
 Gharama za Mradi:TShs 1,728,019,700.00
 Mfadhili:Serikali ya Tanzania
 Idadi ya Wanufaika wa Mradi:227,446
 Kiasi cha Fedha Kilichopokelewa:TShs 0.00
 Kiasi cha Fedha Kilicholipwa:TShs 0.00
 Kiasi cha Fedha Kilichobakia:TShs 1,728,019,700.00
 Hali ya Mradi:7% ya utekelezaji imefikiwa na kwa sasa mradi upo kwenya hatua ya manunuzi.