1. Kupitia Benki: Fika tawi lolote au Wakala wa benki ya NMB, CRDB na Namba ya kumbukumbu ya malipo.
2. Kupitia Mitandao ya Simu:
Ingia kwenye menu ya mtandao husika
- Chagua 4 (Lipa Bili)
- Chagua 5 (Malipo ya Serikali)
- Ingiza Namba ya kumbukumbu ya malipo (Iliyopo kwenye bili)
- Ingiza kiasi cha pesa
- Weka namba ya siri